Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 18:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Naye Musa akachagua wanaume wenye uwezo kutoka Israeli lote na kuwapa vyeo vya kuwa vichwa juu ya watu,+ kuwa wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa 50 na wakuu wa makumi.

  • Kumbukumbu la Torati 1:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Basi nikawachukua vichwa vya makabila yenu, wanaume wenye hekima na uzoefu, na kuwaweka kuwa vichwa juu yenu, wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia na wakuu wa 50 na wakuu wa makumi na maofisa wa makabila yenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki