Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Naye Haruni na wanawe wataila+ nyama ya kondoo huyo na mkate ulio katika kikapu kwenye mlango wa hema la mkutano.

  • Mambo ya Walawi 6:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Na ule unaobaki, Haruni na wanawe wataula.+ Utaliwa kama keki zisizo na chachu+ katika mahali patakatifu. Wataula kwenye ua wa hema la mkutano.

  • Mambo ya Walawi 10:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nanyi mtakula katika mahali patakatifu,+ kwa maana ndilo posho lenu na posho la wana wenu kutoka kwa matoleo ya Yehova yanayotolewa kwa njia ya moto; kwa maana hivyo ndivyo nimeamriwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki