Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Nawe utakitakasa kidari+ cha toleo la kutikisa na ule mguu wa fungu takatifu ambao ulitikiswa na ambao ulichangiwa kutoka katika yule kondoo-dume wa kuweka rasmi,+ kutoka katika kile kilichokuwa cha Haruni na kutoka katika kile kilichokuwa cha wanawe.

  • Mambo ya Walawi 7:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Kwa maana kidari cha toleo la kutikisa+ na mguu wa lile fungu takatifu navichukua kutoka kwa wana wa Israeli kutoka katika dhabihu zao za ushirika, nami nitampa Haruni kuhani na wanawe kutoka kwa wana wa Israeli, kama sharti mpaka wakati usio na kipimo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki