Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 8:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Naye akamtundika mfalme wa Ai+ juu ya mti mpaka jioni;+ na jua lilipokaribia kutua, Yoshua akatoa amri nao wakachukua maiti yake+ kutoka mtini na kuitupa kwenye mwingilio wa lango la jiji nao wakaweka rundo kubwa la mawe juu yake, mpaka leo hii.

  • Yohana 19:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Basi Wayahudi, kwa kuwa yalikuwa ni Matayarisho,+ ili miili hiyo isipate kukaa+ juu ya miti ya mateso siku ya Sabato, (kwa maana siku ya Sabato hiyo ilikuwa kuu,)+ wakamwomba Pilato aagize miguu yao ivunjwe na miili iondolewe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki