7 Na ni nani ambaye amemchumbia mwanamke naye hajamchukua? Na aende na kurudi nyumbani kwake,+ asije akafa vitani na mwanamume mwingine amchukue mwanamke huyo.’
18 Lakini kuzaliwa kwa Yesu Kristo kulikuwa katika njia hii. Katika wakati ambapo Maria mama yake alikuwa amechumbiwa+ na Yosefu, alionekana kuwa ana mimba kwa njia ya roho takatifu+ kabla ya wao kuungana pamoja.