Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 12:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Hutaruhusiwa kula ndani ya malango yako sehemu ya kumi ya nafaka+ yako au ya divai yako mpya au ya mafuta yako au mzaliwa wa kwanza wa mifugo+ yako na wa kundi lako au yoyote ya matoleo yako ya nadhiri utakayoweka nadhiri au matoleo yako ya hiari+ au mchango wa mkono wako.+

  • Kumbukumbu la Torati 14:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “Lazima utatoa sehemu ya kumi ya mazao yako yote ya mbegu yako, yanayotoka shambani mwaka baada ya mwaka.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki