Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 7:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na wanaume wa Ai wakawapiga na kuwaua karibu watu 36 kati yao, wakawafuatilia+ kutoka mbele ya lango mpaka Shebarimu, wakaendelea kuwapiga na kuwaua kwenye mteremko. Basi mioyo ya watu ikaanza kuyeyuka, ikawa kama maji.+

  • Yoshua 7:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Basi Yoshua, na Israeli wote pamoja naye, wakamchukua Akani+ mwana wa Zera na ile fedha na lile vazi rasmi na kile kipande cha dhahabu+ na wanawe na binti zake na ng’ombe zake na punda zake na kundi lake na hema lake na kila kitu kilichokuwa chake, wakawaleta katika nchi tambarare ya chini ya Akori.+

  • Yoshua 7:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Ndipo Yoshua akasema: “Kwa nini umeleta laana juu yetu?+ Leo hii Yehova ataleta laana juu yako.” Ndipo Israeli wote wakampiga kwa mawe,+ kisha wakawateketeza kwa moto.+ Kwa hiyo wakawapiga kwa mawe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki