Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 27:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Na itatukia kwamba katika siku ambayo mtavuka Yordani+ kuingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe, utajiwekea pia mawe makubwa na kuyapaka chokaa.

  • Yoshua 4:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi wana wa Israeli wakafanya hivyo, kama vile Yoshua alivyokuwa ameamuru, nao wakachukua mawe kumi na mawili kutoka katikati ya Yordani, kama vile Yehova alivyokuwa amemwambia Yoshua, ili yalingane na hesabu ya makabila ya wana wa Israeli;+ nao wakayachukua na kuyapeleka kwenye yale makao+ na kuyaweka huko.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki