Yoshua 1:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Na eneo lenu litakuwa kutoka nyika hii na huu mlima Lebanoni mpaka ule mto mkubwa, mto Efrati, yaani, nchi yote ya Wahiti,+ na mpaka kwenye ile Bahari Kuu upande wa magharibi.+
4 Na eneo lenu litakuwa kutoka nyika hii na huu mlima Lebanoni mpaka ule mto mkubwa, mto Efrati, yaani, nchi yote ya Wahiti,+ na mpaka kwenye ile Bahari Kuu upande wa magharibi.+