Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 23:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Hapo Balaki akamwambia Balaamu: “Umenitendea nini? Nilikuchukua ili uwalaani adui zangu, na, tazama, umewabariki kwelikweli.”+

  • Hesabu 23:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Hapo Balaki akamwambia Balaamu: “Ikiwa, kwa upande mmoja, huwezi kumlaani hata kidogo, basi, kwa upande mwingine, hupaswi kumbariki hata kidogo.”

  • Hesabu 24:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ndipo hasira ya Balaki ikawaka juu ya Balaamu naye akapiga makofi,+ naye Balaki akamwambia Balaamu: “Nilikuita ili uwalaani+ adui zangu, na, tazama! umewabariki kabisa mara hizi tatu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki