Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 2:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kisha Yoshua mwana wa Nuni akatuma kisiri wanaume wawili kutoka Shitimu,+ waende wakiwa wapelelezi, akawaambia: “Nendeni, angalieni nchi na Yeriko.” Basi wakaenda wakafika nyumbani kwa mwanamke mmoja kahaba ambaye jina lake lilikuwa Rahabu,+ nao wakakaa humo.

  • Mathayo 1:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu;+

      Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu;+

      Obedi akamzaa Yese;+

  • Waebrania 11:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Kwa imani Rahabu+ yule kahaba hakuangamia pamoja na wale waliotenda kwa kutotii, kwa sababu aliwapokea wale wapelelezi kwa njia ya amani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki