Yoshua 2:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Kisha Yoshua mwana wa Nuni akawatuma kwa siri wanaume wawili wapelelezi kutoka Shitimu,+ akawaambia: “Nendeni mkaipeleleze nchi, hasa jiji la Yeriko.” Basi wakaenda na kufika nyumbani kwa mwanamke mmoja kahaba aliyeitwa Rahabu,+ wakakaa humo. Yoshua Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:1 Mnara wa Mlinzi,11/1/2013, kur. 12-1312/15/1986, kur. 16-17
2 Kisha Yoshua mwana wa Nuni akawatuma kwa siri wanaume wawili wapelelezi kutoka Shitimu,+ akawaambia: “Nendeni mkaipeleleze nchi, hasa jiji la Yeriko.” Basi wakaenda na kufika nyumbani kwa mwanamke mmoja kahaba aliyeitwa Rahabu,+ wakakaa humo.