Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 31:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na Yehova ndiye anayepiga mwendo mbele yako. Yeye mwenyewe ataendelea kuwa pamoja nawe.+ Hatakutupa wala kukuacha kabisa. Usiogope wala usiingiwe na hofu.”+

  • Yoshua 8:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha Yehova akamwambia Yoshua: “Usiogope wala usiwe na hofu.+ Wachukue pamoja nawe watu wote wa vita kisha usimame, mwende Ai. Tazama, nimemtia mkononi mwako mfalme wa Ai na watu wake na jiji lake na nchi yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki