Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 13:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Basi Mungu akawafanya watu wazunguke kupitia njia ya nyika ya Bahari Nyekundu.+ Hata hivyo wana wa Israeli walitoka nchini Misri wakiwa wamejipanga kivita.+

  • Hesabu 32:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 na kila mmoja wenu aliye tayari kwa kweli atavuka Yordani mbele za Yehova, mpaka atakapokuwa amewafukuzia mbali adui zake kutoka mbele zake,+

  • Kumbukumbu la Torati 3:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Basi nikawaamuru ninyi wakati huo, na kusema, ‘Yehova Mungu wenu amewapa nchi hii mpate kuimiliki. Mtavuka, mkiwa tayari na silaha, mbele ya ndugu zenu, wana wa Israeli, wanaume wote mashujaa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki