Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi Yehova akaniambia, ‘Usimwogope,+ kwa maana nitamtia yeye na watu wake wote na nchi yake mkononi mwako; nawe utamtendea kama vile ulivyomtendea Sihoni+ mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa kule Heshboni.’

  • Kumbukumbu la Torati 20:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 “Ikiwa utaenda katika pigano juu ya adui zako nawe uone farasi na magari ya vita,+ watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa maana Yehova Mungu wako yuko pamoja nawe,+ aliyekutoa katika nchi ya Misri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki