Yoshua 6:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Basi wale vijana waliokuwa wamefanya upelelezi wakaingia, wakamtoa nje Rahabu na baba yake na mama yake na ndugu zake na wote waliokuwa wake, ndiyo, wakawatoa nje jamaa zake wote;+ nao wakawaweka nje ya kambi ya Israeli.
23 Basi wale vijana waliokuwa wamefanya upelelezi wakaingia, wakamtoa nje Rahabu na baba yake na mama yake na ndugu zake na wote waliokuwa wake, ndiyo, wakawatoa nje jamaa zake wote;+ nao wakawaweka nje ya kambi ya Israeli.