Yoshua 15:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Na mpaka huo ukaenda hadi kwenye mteremko wa Ekroni+ upande wa kaskazini, na mpaka huo ulitiwa alama hadi Shikeroni na kuendelea hadi Mlima Baala na kwenda hadi Yabneeli; na mwisho wa mpaka huo ukawa kwenye bahari.
11 Na mpaka huo ukaenda hadi kwenye mteremko wa Ekroni+ upande wa kaskazini, na mpaka huo ulitiwa alama hadi Shikeroni na kuendelea hadi Mlima Baala na kwenda hadi Yabneeli; na mwisho wa mpaka huo ukawa kwenye bahari.