Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 7:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Naye atawatia wafalme wao mkononi mwako,+ nawe lazima uyaharibu majina yao toka chini ya mbingu.+ Hakuna mtu atakayesimama imara dhidi yako,+ mpaka utakapokuwa umewaangamiza.+

  • Kumbukumbu la Torati 11:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Hakuna mtu atakayesimama imara dhidi yenu.+ Yehova Mungu wenu atatia mbele ya uso wa nchi+ yote ambayo mtaikanyaga hofu kwa ajili yenu na woga kwa ajili yenu kama vile alivyowaahidi ninyi.

  • Waroma 8:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Basi, tuseme nini kuhusu mambo haya? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, ni nani atakayekuwa dhidi yetu?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki