9 Na mpaka huo ukashuka hadi kwenye bonde la mto la Kana, kuelekea kusini hadi kwenye bonde la mto la majiji haya+ ya Efraimu katikati ya majiji ya Manase, na mpaka wa Manase ulikuwa upande wa kaskazini wa bonde la mto, na mwisho wake ukawa kwenye bahari.+