Yoshua 16:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 na mpaka huo ukaenda hadi baharini. Mikmethathi+ ilikuwa upande wa kaskazini, na mpaka huo ukazunguka upande wa mashariki hadi Taanath-shilo, ukaenda upande wa mashariki hadi Yanoa.
6 na mpaka huo ukaenda hadi baharini. Mikmethathi+ ilikuwa upande wa kaskazini, na mpaka huo ukazunguka upande wa mashariki hadi Taanath-shilo, ukaenda upande wa mashariki hadi Yanoa.