2 Ndipo suria wake akaanza kufanya uasherati+ dhidi yake. Mwishowe suria huyo akamwacha, akaenda nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu katika Yuda, akaendelea kukaa huko miezi minne kamili.
13 Wakati huo Daudi akaendelea kuchukua masuria+ na wake+ zaidi kutoka katika Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni; naye Daudi akaendelea kuzaa wana na mabinti zaidi.