Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Nazo zitavaliwa na Haruni na wanawe wanapoingia kwenye hema la mkutano au wanapoenda karibu na madhabahu ili kuhudumu katika mahali patakatifu, ili wasifanye kosa na kufa hakika. Ni sheria mpaka wakati usio na kipimo kwa ajili yake na uzao wake baada yake.+

  • Kutoka 29:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Nawe utawafunga ukumbuu, Haruni pamoja na wanawe, nawe utawafunga valio la kichwani; nao ukuhani utakuwa wao, hiyo ikiwa ni sheria mpaka wakati usio na kipimo.+ Basi utajaza nguvu mkono wa Haruni na mkono wa wanawe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki