-
2 Wafalme 25:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 naye akachukua kutoka jijini ofisa mmoja wa makao ya mfalme ambaye alikuwa na amri juu ya watu wa vita, na watu 5 kutoka kwa wale wenye kuingia kwa mfalme waliopatikana jijini; na mwandishi wa mkuu wa jeshi, mwenye kuwakusanya watu wa nchi, na watu 60 kati ya watu wa nchi waliopatikana katika jiji;+
-