Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 33:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Naye Yakobo akaondoka kuelekea Sukothi,+ naye akajijengea nyumba na kutengeneza vibanda+ kwa ajili ya mifugo yake. Ndiyo sababu aliita jina la mahali hapo Sukothi.

  • Yoshua 13:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 na katika nchi tambarare ya chini Beth-haramu+ na Beth-nimra+ na Sukothi+ na Safoni, sehemu iliyobaki ya ufalme wa Sihoni mfalme wa Heshboni,+ mto Yordani ukawa mpaka hadi mwisho wa bahari ya Kinerethi+ ng’ambo ya pili ya Yordani upande wa mashariki.

  • Zaburi 108:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Mungu mwenyewe amesema katika utakatifu wake:+

      “Nitashangilia, nitamgawanya Shekemu+ awe fungu;+

      Na nchi tambarare ya chini ya Sukothi+ nitaipima.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki