Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 25:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Waulize hao vijana wako, nao watakuambia, ndipo vijana wangu wapate kibali machoni pako, kwa kuwa tumekuja siku nzuri. Tafadhali, wape watumishi wako na Daudi mwana wako chochote ambacho mkono wako unaweza kupata.’”+

  • 2 Samweli 17:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 wakaleta vitanda na beseni na vyombo vya mfinyanzi, na ngano na shayiri na unga+ na nafaka iliyochomwa+ na maharagwe mapana+ na dengu+ na nafaka iliyokauka;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki