Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 16:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ndipo Samsoni akamwambia: “Wakinifunga kwa kamba mbichi saba za kano,+ ambazo hazijakaushwa, ndipo nitakuwa dhaifu na kuwa kama mwanadamu wa kawaida.”

  • Waamuzi 16:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa hiyo akamwambia: “Wakinifunga kwa kamba mpya ambazo hazijafanyiwa kazi yoyote, nitakuwa dhaifu na kuwa kama mwanadamu wa kawaida.”

  • Waamuzi 16:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kisha Delila akamwambia Samsoni: “Mpaka sasa umenichezea, ukaniambia uwongo.+ Niambie unaweza kufungwa na kitu gani.”+ Ndipo akamwambia: “Ukifuma hii misuko saba ya nywele za kichwa changu kwa uzi wa mtande.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki