Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 21:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Ni afadhali kukaa nyikani kuliko kukaa pamoja na mke mgomvi pamoja na uchokozi.+

  • Methali 25:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Ni afadhali kukaa pembeni mwa paa kuliko kukaa pamoja na mke mgomvi, ingawa ni katika nyumba moja.+

  • Methali 27:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Paa inayovuja maji ambayo humfukuza mtu katika siku ya mvua inayonyesha mfululizo ni sawa na mke mgomvi.+

  • Luka 11:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Ninawaambia ninyi, Ijapokuwa hataamka ampe chochote kwa sababu ya kuwa rafiki yake, hakika kwa sababu ya kudumu kwake kwa ujasiri,+ ataamka na kumpa vitu anavyohitaji.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki