-
Luka 11:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Mimi nawaambia nyinyi, Ijapokuwa hataamka ampe kitu chochote kwa sababu ya kuwa rafiki yake, hakika kwa sababu ya udumifu wake wa ujasiri ataamka na kumpa vitu vile ahitajivyo.
-