Waamuzi 15:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Ndipo akaiwasha moto ile mienge na kuwapeleka mbweha hao katika mashamba ya Wafilisti ya nafaka inayosimama. Basi akawasha moto kila kitu kuanzia mganda mpaka nafaka inayosimama na mashamba ya mizabibu na mashamba ya mizeituni.+
5 Ndipo akaiwasha moto ile mienge na kuwapeleka mbweha hao katika mashamba ya Wafilisti ya nafaka inayosimama. Basi akawasha moto kila kitu kuanzia mganda mpaka nafaka inayosimama na mashamba ya mizabibu na mashamba ya mizeituni.+