Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 21:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Ndipo Mungu akaisikia sauti ya huyo mvulana,+ na malaika wa Mungu akamwita Hagari kutoka mbinguni na kumwambia:+ “Una nini, Hagari? Usiogope, kwa sababu Mungu amesikiliza sauti ya huyo mvulana pale alipo.

  • 2 Samweli 14:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kwa hiyo mfalme akamwambia: “Una jambo gani?” Naye akasema: “Mimi ni mwanamke mjane,+ kwa kuwa mume wangu amekufa.

  • 2 Wafalme 6:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Na mfalme akaendelea kumwambia tena: “Una nini?” Kwa hiyo mwanamke huyo akasema: “Huyu mwanamke aliniambia, ‘Mtoe mwana wako ili tumle leo, na mwanangu tutamla kesho.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki