2 Samweli 15:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Ndipo mfalme akamwambia Itai+ Mgathi: “Kwa nini wewe pia uende pamoja nasi? Rudi,+ ukae na mfalme; kwa maana wewe ni mgeni, na tena, wewe ni mhamishwa kutoka mahali pako.
19 Ndipo mfalme akamwambia Itai+ Mgathi: “Kwa nini wewe pia uende pamoja nasi? Rudi,+ ukae na mfalme; kwa maana wewe ni mgeni, na tena, wewe ni mhamishwa kutoka mahali pako.