1 Samweli 20:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Ndipo Daudi akamwambia Yonathani: “Tazama! Kesho ni mwezi mpya,+ nami lazima niketi pamoja na mfalme kwenye mlo; nawe uniache niende, nami nitajificha+ shambani mpaka jioni siku ya tatu.
5 Ndipo Daudi akamwambia Yonathani: “Tazama! Kesho ni mwezi mpya,+ nami lazima niketi pamoja na mfalme kwenye mlo; nawe uniache niende, nami nitajificha+ shambani mpaka jioni siku ya tatu.