Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 11:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Basi kupitia kwao mtajifanya wenyewe msiwe safi. Kila mtu anayegusa mizoga yao atakuwa asiye safi mpaka jioni.+

  • Mambo ya Walawi 15:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na mtu ambaye atagusa kitanda chake atayafua mavazi yake, naye ataoga katika maji na kuwa asiye safi mpaka jioni.+

  • Mambo ya Walawi 15:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “‘Sasa, mwanamume akitokwa na shahawa,+ basi ataoga mwili wake wote katika maji na kuwa asiye safi mpaka jioni.

  • Mambo ya Walawi 15:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “‘Naye mwanamke ambaye mwanamume atalala naye na kutokwa na shahawa, wataoga katika maji na kuwa wasio safi+ mpaka jioni.

  • Hesabu 19:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Na kila mtu ambaye huko shambani atagusa mtu aliyeuawa kwa upanga+ au maiti au mfupa+ wa mtu au kaburi atakuwa asiye safi siku saba.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki