-
1 Samweli 26:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Na Sauli akapiga kambi katika kilima cha Hakila, kinachoelekeana na Yeshimoni, kando ya barabara, naye Daudi alikuwa akikaa nyikani. Naye akaona kwamba Sauli amemfuata nyikani.
-