-
1 Samweli 3:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini Eli akamwita Samweli na kusema: “Samweli, mwanangu!” Naye akasema: “Mimi hapa.”
-
-
1 Samweli 4:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Na yule mtu akamwambia Eli: “Mimi ndiye ninayetoka katika uwanja wa mapigano, nami—nimekimbia leo kutoka katika uwanja wa mapigano.” Naye akasema: “Ni jambo gani limetendeka, mwanangu?”
-