-
1 Samweli 6:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Na wale panya wa dhahabu walilingana na hesabu ya majiji yote ya Wafilisti ya wale wakuu watano wa muungano, kuanzia jiji lenye ngome mpaka kijiji cha nchi iliyo wazi.
Na lile jiwe kubwa ambalo juu yake waliweka sanduku la Yehova ni ushahidi mpaka leo hii katika shamba la Yoshua, Mbeth-shemeshi.
-