Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 8:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ndipo Yehova akamwambia Samweli:+ “Sikiliza sauti ya watu kuhusu mambo yote wanayokuambia;+ kwa maana hawakukukataa wewe, bali wamenikataa mimi nisiwe mfalme+ juu yao.

  • 1 Samweli 12:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mlipoona kwamba Nahashi+ mfalme wa wana wa Amoni amekuja kupigana nanyi, mkaniambia tena na tena, ‘Hapana, bali ni mfalme ndiye atakayetawala juu yetu!’+ ingawa wakati huo wote Yehova Mungu wenu alikuwa mfalme wenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki