Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 22:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Vitu vilivyoibwa vikipatikana pasipo shaka mikononi mwake, ng’ombe-dume, punda, na kondoo, wakiwa hai, atalipa mara mbili.

  • Mambo ya Walawi 6:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 basi itakuwa kwamba akitenda dhambi na kuwa na hatia,+ lazima atarudisha kile kitu alichopata kwa unyang’anyi au alichopata kwa upokonyaji ambacho amechukua kwa kupunja au kitu alicho nacho ambacho alipewa au kitu kilichopotea ambacho amekipata,

  • Luka 19:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Lakini Zakayo akasimama na kumwambia Bwana: “Tazama! Nusu ya mali zangu, Bwana, mimi nitawapa maskini, na chochote nilichomnyang’anya mtu yeyote kwa shtaka la uwongo+ nitarudisha mara nne.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki