22“Na mtu akiiba ng’ombe-dume au kondoo na kumchinja au kumuuza, atalipa watano kutoka katika mifugo kwa ajili ya ng’ombe-dume huyo na wanne kutoka katika kundi kwa ajili ya kondoo huyo.+
5 au kitu chochote ambacho huenda akaapa juu yake kwa uwongo, naye atatoa malipo+ kwa ajili yake kwa kiwango chake kamili, naye ataongezea juu yake sehemu yake ya tano. Siku ambayo hatia yake itahakikishwa atampa mwenyewe kitu hicho.