Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 16:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Tafadhali basi, bwana wetu na aamuru watumishi wako walio mbele yako kwamba watafute mtu mwenye ustadi,+ anayepiga kinubi.+ Na itatukia kwamba wakati roho mbaya ya Mungu inapokuja juu yako, yeye atakipiga kwa mkono wake, na mambo yatakuendea vema.”

  • 1 Samweli 16:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Na ikatukia kwamba wakati roho ya Mungu ilipokuja juu ya Sauli, Daudi alichukua kinubi na kukipiga kwa mkono wake; ndipo Sauli akapata faraja na mambo yakamwendea vema, na ile roho mbaya ikaondoka juu yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki