Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 7:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Na wale mia tatu+ wakaendelea kupiga baragumu,+ na Yehova akatia upanga wa kila mmoja juu ya mwenzake katika kambi yote;+ na kambi ikaendelea kukimbia hadi Beth-shita, hadi Serera, hadi kwenye mipaka ya Abel-mehola+ kando ya Tabathi.

  • 2 Samweli 21:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi mfalme akawachukua wale wana wawili wa Rispa+ binti ya Aya aliyemzalia Sauli, Armoni na Mefiboshethi, na wale wana watano wa Mikali+ binti ya Sauli ambao alimzalia Adrieli+ mwana wa Barzilai, Mmeholathi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki