2 Samweli 19:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Naye mfalme akaanza kurudi, akafika Yordani. Nao Yuda wakaja Gilgali+ ili kwenda kumpokea mfalme, wamvushe mfalme Yordani. 2 Samweli 19:42 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 42 Ndipo watu wote wa Yuda wakawajibu watu wa Israeli: “Kwa sababu mfalme ni mtu wa karibu wa jamaa yetu;+ na kwa nini mmekasirika kwa ajili ya jambo hili? Je, sisi tumekula kwa gharama ya mfalme, au je, tumepewa zawadi?”
15 Naye mfalme akaanza kurudi, akafika Yordani. Nao Yuda wakaja Gilgali+ ili kwenda kumpokea mfalme, wamvushe mfalme Yordani.
42 Ndipo watu wote wa Yuda wakawajibu watu wa Israeli: “Kwa sababu mfalme ni mtu wa karibu wa jamaa yetu;+ na kwa nini mmekasirika kwa ajili ya jambo hili? Je, sisi tumekula kwa gharama ya mfalme, au je, tumepewa zawadi?”