Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 10:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 na Myebusi+ na Mwamori+ na Mgirgashi

  • Yoshua 15:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na mpaka huo ukapanda hadi bonde la mwana wa Hinomu+ kwenye mteremko wa Myebusi+ upande wa kusini, yaani, Yerusalemu;+ na mpaka huo ukapanda hadi kwenye kilele cha mlima unaoelekeana na bonde la Hinomu upande wa magharibi, ambao uko mwisho wa nchi tambarare ya chini ya Refaimu+ upande wa kaskazini.

  • 2 Samweli 5:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Na Daudi akaanza kukaa katika ngome hiyo, nayo ikaitwa Jiji la Daudi; na Daudi akaanza kujenga kuzunguka pande zote kuanzia Kilima+ na kuelekea ndani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki