-
1 Wafalme 20:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kwa hiyo akawaambia wajumbe wa Ben-hadadi: “Mwambieni bwana wangu mfalme, ‘Yote uliyowatuma watu kwanza ukiyataka kwa mtumishi wako nitafanya; lakini jambo hili siwezi kulifanya.’” Basi wale wajumbe wakaenda zao, wakampelekea neno.
-