5 Baadaye watu wakaenda, wakamwambia Daudi kuhusu wale watu; naye akatuma watu mara moja kwenda kuwapokea, kwa sababu watu hao walikuwa wamefedheheshwa sana; na mfalme akaendelea kusema: “Kaeni katika Yeriko+ mpaka ndevu zenu ziote kabisa. Ndipo mrudi.”