2 Samweli 13:35 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 35 Ndipo Yehonadabu+ akamwambia mfalme: “Tazama! Wana wa mfalme wameingia. Imetokea kulingana na neno la mtumishi wako.”+
35 Ndipo Yehonadabu+ akamwambia mfalme: “Tazama! Wana wa mfalme wameingia. Imetokea kulingana na neno la mtumishi wako.”+