2 Basi nyumba ya Sauli ilikuwa na mtumishi ambaye jina lake lilikuwa Siba.+ Kwa hiyo wakamwita, akaja kwa Daudi, ndipo mfalme akamwambia: “Je, wewe ni Siba?” naye akasema: “Mimi ni mtumishi wako.”
9 Sasa mfalme akamwita Siba, mtumishi wa Sauli, akamwambia: “Kila kitu ambacho kilikuwa cha Sauli na cha nyumba yake yote,+ nampa mjukuu wa bwana wako.