2 Samweli 15:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Na watu wote wa nchi wakalia kwa sauti kubwa,+ na watu wote wakavuka, na mfalme alikuwa amesimama kando ya bonde la mto la Kidroni,+ na watu wote wakavuka kwenye barabara pana inayoelekea nyikani.
23 Na watu wote wa nchi wakalia kwa sauti kubwa,+ na watu wote wakavuka, na mfalme alikuwa amesimama kando ya bonde la mto la Kidroni,+ na watu wote wakavuka kwenye barabara pana inayoelekea nyikani.