Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 23:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Angalieni na kuhakikisha kuhusu mahali pote pa kujificha ambapo yeye hujificha; nanyi mrudi kwangu mkiwa na huo ushuhuda, nami nitaenda pamoja nanyi; na itatukia kwamba, ikiwa yupo katika nchi hiyo, nitamtafuta kwa uangalifu kati ya maelfu+ yote ya Yuda.”

  • 2 Samweli 17:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Tazama! Sasa amejificha+ katika moja la mashimo au katika moja ya mahali penginepo; na hakika itatukia kwamba, mara atakapowaangukia mwanzoni, yeye anayesikia hayo atayasikia na kusema, ‘Watu wanaomfuata Absalomu wameshindwa!’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki