-
2 Samweli 17:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi Hushai akaingia kwa Absalomu. Ndipo Absalomu akamwambia: “Ahithofeli amesema hivi na vile. Je, tutende kulingana na neno lake? Ikiwa sivyo, wewe useme.”
-